• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, June 28, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Jafo ahoji kusuasua kwa kituo Mbezi, atoa siku 6 kwa Makonda

“Serikali imetenga jumla ya Shilingi bilioni 105 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali 67 za wilaya na Shilingi bilioni 50.9 za ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luis"

Patricia Richard by Patricia Richard
December 14, 2018
in MIUNDOMBINU
0
Vitambulisho vyaingiza mabilioni TRA

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo.

Share on FacebookShare on Twitter

Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo ameeleza kushangazwa na hali ya kusuasua kwa mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luis na kutoa siku sita kupata taarifa ya kina kuhusu mradi huo. Jafo amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam na kusisitiza endapo hatopata maelezo ya kina, fedha zilizotengwa kwa ajili ya mradi huo zitapelekwa kwenye halmashauri nyingine ili zifanye shuguli za maendeleo.

“Serikali imetenga jumla ya Shilingi bilioni 105 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali 67 za wilaya na Shilingi bilioni 50.9 za ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luis. Dar es salaam ni mkoa ambao umenufaika zaidi na fedha za mradi lakini mpaka sasa inasikitisha kituo cha mabasi cha Mbezi Luis kinasuasua”. Amesema Jafo.

ADVERTISEMENT

Mradi huo ulipangwa kuanza rasmi Julai mwaka jana lakini hadi sasa bado haujaanza, kitendo ambacho kimemlazimu Waziri Jafo kutoa siku sita kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na Mkurugenzi wa jiji kumpatia maelezo ya kina kuhusu ujenzi wa kituo hicho.

“Ukiachia machinjio ya kisasa Vingunguti,  ujenzi wa soko la Kisutu, soko la Mburahati, soko la Magomeni kuna mradi mkubwa wa  stendi ya mabasi ya Mbezi Luis. Bahati mbaya nimetoa maelekezo katika vipindi mbali mbali miradi hii itekelezwe ndani ya muda, lakini nasikitika hatujaridhishwa na spidi ya mradi wa mabasi ya Mbezi Luis na una fedha nyingi zaidi. Natoa maelekezo mpaka Jumatano wiki ijayo tarehe 19, nipate taarifa ya mwenendo wa mradi wamefikia wapi na mkandarasi anaanza vipi kazi, na kama maelekezo haya nikiona yanasuasua, tutaziondoa fedha hizo za mradi na  kupeleka kwenye halmashauri nyingine, hii naweka wazi”. Amesema Waziri huyo.

Tags: fedhamaendeleoSelemani Jafoujenzi
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post

Wajasiriamali washauriwa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 27, 2022

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

by Jensen Kato
June 27, 2022
0

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu...

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In