• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, June 28, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Waziri asisitiza ushirikiano kuharakisha mradi

Wawekezaji hao wapo tayari kuchangia asilimia 40% na NJORECU asilimia 60%.

Patricia Richard by Patricia Richard
December 12, 2018
in VIWANDA
0
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akizungumza na Mjumbe wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika Njombe, Mjumbe kutoka Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) pamoja na muungano wa makampuni ya uwekezaji kutoka China.

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akizungumza na Mjumbe wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika Njombe, Mjumbe kutoka Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) pamoja na muungano wa makampuni ya uwekezaji kutoka China.

Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga amelitaka Shirikisho la vyama vya ushirika Tanzania (TFC) kushirikiana kikamilifu na Chama Kikuu cha Ushirika Njombe (NJORECU) na kuhakikisha mradi wa ujenzi wa kiwanda cha mbolea unaanza kabla ya mwezi Juni mwakani. Waziri Hasunga amesema hayo wakati akizungumza na Mjumbe wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika Njombe, Mjumbe kutoka Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) pamoja na muungano wa makampuni ya uwekezaji kutoka China jijini Dar es salaam.

Waziri huyo amesema kuwa, baada ya ujenzi wa kiwanda hicho kukamilika. wanaushirika wa chama hicho cha NJORECU na wakulima wote nchini watanufaika kwani kitaongeza urahisi wa upatikanaji wa mbolea kwa wakati na kwa bei nafuu kutokana na uzalishaji kufanyika hapa nchini. Waziri Hasunga ameshauri kuandaa andiko la mradi huo litakaloeleza aina ya mbolea itakayozalishwa na taarifa zote zinazohitajika katika kufanikisha mradi huo.

ADVERTISEMENT

Wawekezaji hao kutoka China kwa kushirikiana na NJORECU wamejipanga kuwekeza katika ujenzi wa kiwanda cha mbolea pamoja na kiwanda cha kufungasha viuatilifu vinavyotumika katika kilimo. Katika kikao hicho, imeelezwa kuwa wawekezaji hao wapo tayari kuchangia asilimia 40% na NJORECU asilimia 60%.

Tags: ChinaJaphet HasungakilimoNJORECUTFCuwekezaji
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Mkuu wa Kitengo cha Biashara za Kadi wa Benki ya NMB, Boma Raballa (katikati) akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo (hawapo pichani) kuhusiana na kampeni ya matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ inayojulikana kama ‘MastaBata’, ambapo wateja wanaofanya malipo mbalimbali kwa kutumia mfumo huo watajishindia fedha taslimu, simu janja pamoja na safari ya kwenda mapumzikoni Dubai. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki na Mauzo wa NMB, Omari Mtiga.

NMB yazindua MastaBata

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 27, 2022

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

by Jensen Kato
June 27, 2022
0

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu...

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In