• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, June 28, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

NSSF kuanza kulipa waliokosa ajira

Dennis Msotwa by Dennis Msotwa
January 7, 2019
in AJIRA
0
Cosmas Sasi,Meneja data na utekelezaji NSSF akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu utekelezaji wa malipo kwa wafanyakazi waliositishiwa ajira jijini Dar es salaam na kulia ni Meneja kiongozi wa uhusiano na elimu kwa umma Lulu Mengele.Picha na Michuzi Blog

Cosmas Sasi,Meneja data na utekelezaji NSSF akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu utekelezaji wa malipo kwa wafanyakazi waliositishiwa ajira jijini Dar es salaam na kulia ni Meneja kiongozi wa uhusiano na elimu kwa umma Lulu Mengele.Picha na Michuzi Blog

Share on FacebookShare on Twitter

Shirika la taifa la hifadhi za jamii(NSSF) limeanza mchakato wa malipo ya mafao mbalimbali kwa wafanyakazi waliokosa ajira kutokana na sababu mbalimbali.

Katika taarifa iliyotolewa jana tarehe 6 januari kwa vyombo vya habari imeeleza kuanza kwa uhakiki wa majina ya madai mbalimbali ya wanachama ambao ajira zao zimekoma na walikua kwenya ajira za muda mfupi katika sekta mbalimbali kama vile madini,viwanda,ujenzi na kilimo.

Taarifa hiyo imezidi kubainisha kuwa madai yote yatakayoonekana ni halali baada ya uhakiki yatafanyiwa malipo kama ilivyokua awali.

ADVERTISEMENT

Pia meneja wa Data na utekelezaji wa shirika hilo Cosmas Sasi amesema shirika hilo hutumia takribani sh.5 bilioni kulipa mafao ya uzeeni kwa kila mwezi ambapo mpaka sasa wastaafu 18,631 wameshalipwa.

Meneja uhusiano na Elimu wa shirika hilo aliwasihi wanachama waliositishiwa ajira zao kufika na kufanya uhakiki ambao ulianza tangu Desemba mosi 2018 na bado unaendelea katika ofisi za kanda zilizoko mikoani.

Utekelezaji wa malipo hayo kwa watu mbalimbali waliositishiwa ajira zao kwa sababu mbalimbali ni moja ya matekelezo ya agizo la Rais magufuli aliyoyatoa desemba mwaka jana katika mkutano kati yake na viongozi wa vyama vya wafanyakazi,Mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA),watendaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii,wizara husika na chama cha waajiri.

Tags: ajirafedhaikulukandakaziMagufuliMalipoNSSFSSRA
Dennis Msotwa

Dennis Msotwa

Next Post
Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwazawadia wateja wa mtandao huo Tuzo Points pamoja na zawadi nyingine katika kampeni ya 'Baki Mule Mule Utuzwe na Tuzo Points' iliyofanyika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza. Wateja wa Vodacom wanaweza kupata Tuzo Points pale wanaponunua salio au kufanya miamala kupitia M-Pesa . Pointi hizo zinaweza kubadilishwa kuwa fedha, salio au bando. Katika msimu huu wa sikukuu, Vodacom Tanzania inawazawadia wateja wao pointi za Tuzo zenye thamani ya shilling Bilioni moja.

Tuzo pointi zaendelea Mwanza

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 28, 2022

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 28, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 28, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 28, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 28, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 28, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

by Jensen Kato
June 28, 2022
0

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu...

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 28, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In