• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Benki ya Stanbic yazindua Uhuru Banking, isiyo na ada ya usimamizi

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
November 1, 2018
in BENKI
0
Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na kibiashara wa benki ya Stanbic, Brian Ndadzungira (kati) akizungumza na wafanyakazi na wateja wa benki hiyo kuhusu huduma mpya ya Uhuru Banking isiyo na ada ya usimamizi leo katika branchi yao ya Center jijini Dar es salaam.

Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na kibiashara wa benki ya Stanbic, Brian Ndadzungira (kati) akizungumza na wafanyakazi na wateja wa benki hiyo kuhusu huduma mpya ya Uhuru Banking isiyo na ada ya usimamizi leo katika branchi yao ya Center jijini Dar es salaam.

Share on FacebookShare on Twitter

Benki ya Stanbic imezindua huduma mpya na ya kidigitali iitwayo “Uhuru Banking”. Jina ‘Uhuru’ likiwakilisha ofa za kipekee, ikiwemo; kutokuwa na makato ya kila mwezi katika akaunti, kadi ya VISA ya daraja la dhahabu ‘Gold visa debit card’ inayotumika hapa nchini na kimataifa. Wateja wa Uhuru Banking wanaweza pia kufanya miamala mbalimbali na kujihudumia wenyewe kupitia simu zao za mkononi.

Benki ya Stanbic iliamua kuboresha huduma hiyo ambayo mwanzo iligawanyika katika akaunti za daraja tatu tofauti, yaani, Silva, Dhahabu na Bluu (Silver, Gold na Blue). Uhuru Banking inaunganisha madaraja ya akaunti zote na kuwawezesha wateja kuwa na uhuru wa kufanya miamala yao kiurahisi kupitia mfumo wa kidigitali. “Uhuru banking ni matokeo ya maoni ya wateja kuhusiana na huduma na bidhaa zetu. Wateja wetu ni kiini cha kila jambo tunalolifanya hivyo tumejikita katika kuhakikisha wanaendelea kifedha” alisema Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na kibiashara wa benki ya Stanbic, Brian Ndadzungira.

ADVERTISEMENT
Mussa Kitoi, Mkuu wa wateja binafsi wa Benki ya Stanbic akizindua huduma yao mpya ya Uhuru Banking isiyo na ada ya usimamizi leo katika branchi yao ya Center jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Grace Hayuma, Kiongozi wa huduma kwa wateja na Desideria Mwegelo, Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya Stanbic.

Watanzania wanahitaji huduma ambazo zinaendana na maisha ya sasa. Kupitia Uhuru banking wateja wanaweza kupata huduma mahususi za kifedha zinazoendana na mahitaji yao. “Pendekezo hili limelenga kuleta maendeleo kwa watanzania na kuwasaidia kufanyikisha malengo yao ya kifedha” aliongeza Brian.

 

Kumekuwa na mabadiliko ndani ya sekta ya benki nchini Tanzania na kutokana na uzoefu wa zaidi ya miaka ishirini nchini Tanzania, Stanbic Bank inaendelea kutoa huduma bora na mahususi zinazozingatia matakwa ya wateja wao.

Tags: Brian NdadzungiraStanbic Bank TanzaniaUhuru Banking
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post
JPM ahoji Mbeya kukosa stendi

Upanuzi bandari ya Mtwara kupunguza gharama za usafirishaji

Discussion about this post

Habari Mpya

Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

January 30, 2023

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

January 30, 2023

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

Serikali kuanzisha mnada wa chai

January 20, 2023

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

January 19, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

by Pesatu Reporter
January 30, 2023
0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewasihi mashabiki wa Simba wamtie nguvu Mwekezaji Mohammed Dewji (Mo Dewji) kwa...

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

by Pesatu Reporter
January 30, 2023
0

Rais Samia amesema Serikali imetenga hadi eka 10 kwa kila kijana mwenye sifa za kufanya kilimo nchini Tanzania ili kuiwezesha...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In