Fahamu haya kuhusu ‘Angel Investors’
Mtaji ni msingi wa ukuaji wa biashara yeyote, imekuwa ni kawaida kuona wajasiriamali au wafanyabiashara wapya wanafunga biashara zao kutokana ...
Mtaji ni msingi wa ukuaji wa biashara yeyote, imekuwa ni kawaida kuona wajasiriamali au wafanyabiashara wapya wanafunga biashara zao kutokana ...
Imekuwa ni kawaida kusikia watu wanataka kuwekeza katika ardhi au viwanja. Uwekezaji katika ardhi ni jambo zuri kwani mbali na ...
Asilimia kubwa ya watanzania hawana ufahamu wa sheria na haki zao. Jambo hili limepelekea watu wengi kutopata haki zao na ...
Mara nyingi inatokea kuwa mtu anakuwa na wazo la biashara lakini anashindwa kuliendeleza kutokana na kukosa fedha. Wafanyabiashara na wajasiriamali ...
Mikopo inayotolewa na benki huwa na faida nyingi, lakini ni hatari pia kwako na mkopeshaji. Mkopeshaji huingia katika hatari ya ...
Inawezekana kuokoa biashara ikiwa imefilisika. Hata hivyo inatakiwa kuchunguza kama biashara inafaa kuokolewa au la. Kwa ujumla unatakiwa kufikiria kuiokoa ...
Imekuwa ni kawaida kusikia mtu ametapeliwa fedha mtandaoni. Kwa bahati nzuri au mbaya, teknolojia mpya zinazoendelea kuboreshwa zimewarahisishia wezi kuendelea ...
Imekuwa ni kawaida kuona kuwa mtu ameomba mkopo na kupewa majibu kuwa 'hajakidhi vigezo' vya mkopo hasa katika taasisi za ...
Ni wajibu wa mfanyabiashara kufanya kila jitihada kuilinda biashara yake na kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Madai, na kesi kila ...
Mikataba ni muhimu na hutumika kila mahali kuhakikisha mabadilishano baina ya pande mbili yanakwenda sawa. Hivyo hata katika biashara mikataba ...