African Export Import kuipatia Tanzania zaidi ya Shilingi trilioni moja kugharamia ujenzi wa reli na vituo vya biashara
Na: WFM, Mjini Bali Indonesia African Export Import Bank (Afreximbank) ya Misri, imeonyesha nia ya kuipatia Tanzania mkopo wa zaidi ya Shilingi trilioni moja ...