Kiswahili lugha rasmi Muungano wa Afrika
Muungano wa Afrika (AU) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Kiswahili pia kimeridhiwa ...
Muungano wa Afrika (AU) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Kiswahili pia kimeridhiwa ...
Mfanyabiashara ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa MeTL Group, Mohammed Dewji (Mo Dewji) ametajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 18 wa ...
Licha ya kuwepo kwa janga la Covid-19 ambalo limeathiri uchumi wa nchi nyingi duniani, mapato ya sekta ya utalii Tanzania ...
November 26, 2021 Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inarejesha safari zake kati ya Tanzania na Kenya. Hatua hiyo, pamoja na ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaiwekea thamani madini ya Tanzanite ili yapate bei kubwa sokoni. Katika mwendelezo wa kurekodi ...
Wito umetolewa kwa vijana na wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari kuchangamkia fursa za udhamini wa masomo wa hadi asilimia 50 ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema kuanzia leo Jumatano Juni 23, 2021 mtu yeyote hatoruhusiwa kuingia eneo la hospitali au ...
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema licha ya mlipuko wa Covid-19 ulioathiri uchumi wa nchi nyingi duniani, Tanzania ...
Tuzo za Chaguo la Mteja 2021 (Tanzania Consumer Choice Awards TCCA) zimezinduliwa. Tuzo hizo zinamsaidia mteja kupigia kura kampuni bora ...
Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...
Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...